Uzi maalum kwa wapenzi wa Muziki mzuri

Uzi maalum kwa wapenzi wa Muziki mzuri

Unaenda YouTube after kuchagua wimbo unaenda kwenye sehwmu ya share utakuta options nyingi unachagua copy link thereafter unakuja kupaste huku jf.
tatzo nyimbo yenywe sijui inaitwaje, nmerecord kipande tu kutoka kene radio naitafuta kwa udi na uvumba,
nyimbo yenyewe anapenda sana kupiga dj sinyorita wa clouds media ina fanana na dj snake learn on
 
Hebu jaribu hapo kwenye kuattach
 
Back
Top Bottom