Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Dah hiki ni chuma haswaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly 💯 brother kalii sana hiiDah hiki ni chuma haswaa
Kucheza unajua?Mainly ni hip hop, ila nasikiliza miziki ya aina yote, usishangae ukaja mtaani ukanikuta nasikiliza penzi kizungumkuti ama rabana toka msondo, ama namskiliza bob marley, kisha ikatoka redemption song ama no woman no cry, ikaingia effrakata ama attentat ya mopao mokonzi koffie wa olomide, mara paap unasikia ielewe mitaa ama neno ya fid q, hujakaa sawa umemsikia bi mwanahawa ally, leyla rashid, mzee yusuf, sabah mchacho, mara paap unaisikia ELIMU dunia toka kwa daz baba, inaisha kaingia papii kocha na fanta ama salima wake, hujakaa sawa unamsigia manigga pac, inaisha ngoma ya tupac, unasikia mchiriku toka kwa jagwa ama mtaalamu omary omary, cha kushangaza nikiwa na mood ya mziki ngoma nyingi hapo nazifatiliza neno kwa neno, tena hizi za kikongo ama dansi za bongo haswa za banza stone mwalimu wa walimu, nikiwa mwenyewe ama na mama watoto najikuta nayarudi magoma kukumbukia enzi.
Mnooo, uzee tu huu ndio speed imepungua.Kucheza unajua?
🙏🙏 TeAmo🤍
Now you here by my side...you are next to meeeee❤️🎶🎵🎵🎼