Uzi maalum kwa wapenzi wa Muziki mzuri

Uzi maalum kwa wapenzi wa Muziki mzuri

Ni come on au come and get some mkuu?
Wimbo unaitwa Come on kama sikosei ila sikumbuki sana kama ni SWV ndio waliimba au kuna wadada wengine, ila ulitamba sana miaka ya mwazoni ya 2000. Ila tuma huo come and get some niusikilize kwanza
 
Back
Top Bottom