Uzi maalum kwa watu ambao tuna IQ ndogo.

Uzi maalum kwa watu ambao tuna IQ ndogo.

Tupo boss.



Wale wa ''sukari ilikuwa 5000 mwaka 2015..''
 
Duh mwanzisha uzi ashakula ban au dp tu iyo
 
Kwa wale ambao tuna IQ ndogo huu uzi ni maalum kwa ajili yetu

Tujifunze namna ya kupambana na hali zetu.

Karibuni.
east Africa waganda wako juu ndo maana wahaya walo vizuri mkichwa
 
hali zetu ni ngumu mno, hatuna iman tena na mafanikio wala ukamilisho wa ndoto nzuri labda mbaya
 
Back
Top Bottom