Naona mmeanza sasaNajua Sadam alikuwa rais wa Kuwait
Dah! hii ni Kali kuliko sigara kali.
east Africa waganda wako juu ndo maana wahaya walo vizuri mkichwaKwa wale ambao tuna IQ ndogo huu uzi ni maalum kwa ajili yetu
Tujifunze namna ya kupambana na hali zetu.
Karibuni.