Uzi maalum kwaajili ya neno moja lenye maana sawasawa kwenye makabila tofauti

Uzi maalum kwaajili ya neno moja lenye maana sawasawa kwenye makabila tofauti

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya kushiba

Neno kuhangua lipo katika makabila mawili ya wa
sukuma na
wakurya na lina maana moja ya kuwahi

neno muramu linapatikana katika makabila ya waha,wajita,wahangaza & wanyarwanda na lina maana moja ya shemeji

neno ilinyiro linapatikana katika makabila mawili ya wakurya na wakikuyu na lina maana sawasawa ya pua

neno imyenda linapatikana katika makabila mawili ya wasukuma na wanyarwanda na lina maana sawasawa ya nguo

neno kujamya linapatikana katika makabila mawili ya wanyambo na waha na lina maana moja ya kulala

neno amazi linapatikana katika makabila ya wazanaki,wanyarwanda na waha na lina maana moja ya maji

neno karungi linapatikana katika makabila mawili ya kihaya na kiganda na lina maana moja ya kizuri
 
Back
Top Bottom