Uzi maalum:Ndoto ya Jana usiku!!

Uzi maalum:Ndoto ya Jana usiku!!

me niliota nafanya mapenzi na Nick Minaj, ile kuamka nimelowana mapaja na siku hy sikupanga kuoga kabsa hvy niliendlea na mishe zangu nikiwa wet
 
Huu uzi maalum kwa hadithi za Ndoto tuu!!
Nilikuwa hukoo ughaibuni na cheusi dawa wangu sijui nchi gani ila nadhani Bara la Asia,watu weusi ni mimi na huyo mwandani wanguu Tuu.Hiyo inaonekana kuna miji hawajui kama duniani kuna watu weusi kama sisi yaani hata utumiaji wa internet hakuna!! Wako local sana...tulienda kutembea wacha nifupishe.Kijiji kizima walituzunguruka tukasikia mmoja wao sijui anatangaza nini walitukamata wakatuvua nguo zotee hapo ndio nilipoamka na kuandika huu uzi sijui walitaka kutufanya nini?Je wewe mwenzangu,umeota nini usiku wa kuamkia leo...
Baada ya kukuvua nguo zote niakupakua vizuri tu ukafika kibo Mungu sio juma ukanizalia mtoto wa kike.
Nimeota naendeleza ndoto yako
 
Back
Top Bottom