thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Mkuu nimependa hiyo quote ya pili ILA naomba unielezee ina maana gani " people don't create betrayal time does"Natumai mpo vyema wakuu
Nimeona nianzishe uzi maalumu wa kutupia dialogues, nukuu, misemo, n.k uliyo ikubali kutoka kwenye series au movie yoyote
"Arya would rather act like a beast than a lady" - Game of Thrones (Season 1)
"People dont create betrayal, Time does" by Tal tal (Empress Ki)
"I never would have made to congress so fast if it weren't for all of you" Blindspot
Karibuni tutiririke 😎