Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

Mkuu nimependa hiyo quote ya pili ILA naomba unielezee ina maana gani " people don't create betrayal time does"
 
"Some may say the world will end in fire some say ice, from what I have tested of desire I hold with those who favour a fire, visionary words written by a wise man centuries ago fire is pure and true, unlike some humans who amass power only to grow corrupt and weak, the badlands is now lead by people such as these, I know because I was one"-Quinn, into the badlands
 
Mkuu nimependa hiyo quote ya pili ILA naomba unielezee ina maana gani " people don't create betrayal time does"
Usaliti hautengenezwi na mtu yeye kama yeye, ila situation mbalimbali zinazoweza kumkumba kadiri muda unavyoenda ndizo ambazo zinaweza mfanya atende usaliti

Nilielewa hivo mkuu
 
“Everyone’s a whore, Grace. We just sell different parts of ourselves.”
- Tommy Shelby (peaky blinders)

My fav
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…