Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahhaaaaNa ule uzuri wake 😍, mfalme alikuwa ana haki ya kupelekeshwa tu 🤣
Ninachofurahia alimgroom yule Prince Toka jinga mpaka mtu anayejielew,Toka mwana Mfalme asiyeweza kusoma mpaka kuwa mwanamfalme anayejua kusoma,kujua ni nini kilichoandikwa kwenye mikataba Hadi Siri zote za nchi
Yuke Ki sitakuja kumsahau
Ukipata mwanamke kama yule msishani mwako maisha yako ni burudani