Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
Habari wakuu
Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby.
Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free.
Hobbies nazopenda
___
Share chochote kuhusu hobbies zako humu kwa picha,kusimulia,na kutaja.
#Hobbies
Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby.
Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free.
Hobbies nazopenda
- Kusikiliza muziki hasa wa Pop, Reggae, Country, R&B, Trap na Jazz.
- Kuchora(sketching/drawing)
nitaleta picha nazochora soon!
- Kusoma hasa maandishi tu, ndio maana navutiwa na JF sana.
- Kuangalia movies. Genre nazopenda ni Documentary, Comedy, Horrors na Action.
___
Share chochote kuhusu hobbies zako humu kwa picha,kusimulia,na kutaja.
#Hobbies