min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kuna aina nyingi za yoga sasa hapo inategemea unachagua ipi hasa kwa wewe unaetaka kuanza .Yoga nataka sana kupata training zake zile za you tube naona kuzifata inakuwa ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna aina nyingi za yoga sasa hapo inategemea unachagua ipi hasa kwa wewe unaetaka kuanza .Yoga nataka sana kupata training zake zile za you tube naona kuzifata inakuwa ngumu
Wee em sema kwelii? [emoji23][emoji23]haha umeshataja hobby yako ni kusoma
Tayari tumeshajua hobby yakoWengine tukiandika hobbies zetu hapa, tunaweza haribu mahusiano yetu kwa kuitwa wazinzi...😜
Ndio maana nikasema nataka "training"maana uelewa nayo sinaKuna aina nyingi za yoga sasa hapo inategemea unachagua ipi hasa kwa wewe unaetaka kuanza .
Spotify wanafanya hobby ya kusikiliza music tuifurahie zaidi 😎Napenda sana kusikiliza miziki ndani ya Spotify premium na napenda sana kucheki movie na seriesView attachment 3240273
😹😹😹😹😹😹😹Tayari tumeshajua hobby yako
Jinsia yangu ya nini sasa ? Unataka kuifahamu!!Mimi nimeuliza jinsia mkuu sijasema yoga ni ya wanawake 😂😂😂😂
Samahani mkuuJinsia yangu ya nini sasa ? Unataka kuifahamu!!
OkSamahani mkuu
Ni kilimo mkuu..🤣Tayari tumeshajua hobby yako
Ah wapi😀Ni kilimo mkuu..🤣