Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Unapendela movie Gani Kali niitafute niicheki 😎
Labda ushaziona, these are some ambazo nilizipenda na naweza kuzirudia tena. Nyingi siyo mpya na ni mix ya series na movies.

IMG_1804.jpeg

IMG_1809.jpeg

IMG_1807.jpeg

IMG_1800.jpeg


IMG_1799.jpeg
IMG_1808.jpeg
IMG_1810.jpeg
 
Unaweza kunielezea miziki ya country na jazz inakuwaje
Jazz ni muziki fulani hivi wa kutulia hauna papara hata zana zake zimetulia ukiisikiliza lazima usikie piano,saxophone na tarumbeta, lazima mingine wanapiga na zile drums.
 
Unaweza kunielezea miziki ya country na jazz inakuwaje
Country yenyewe ni ile ya kicow-boy ukiisikiliza guitar lazima lihusike tena yale maguitar haswa! Kina kenny Rodgers na Alan Jackson ndio nawasikiliza zaidi.
 
Back
Top Bottom