Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok ngoja nikawasikilizemkuu ni nyingi ila napendelea za kina Miles Davis,Ellie Fitzgerald, na Louis Armstrong
Mule mule njoo nikuoe wew dadaKiufupi my hobbies are kula,kukaa peke yangu,singing,writing Nina Kama diary nne hivi zimejaa 😀,,kupika,movies hasa horror movies na action and reading books!!!
uneshataja teyariWengine tukiandika hobbies zetu hapa, tunaweza haribu mahusiano yetu kwa kuitwa wazinzi...😜
A nunNzuri hizi [emoji7] horror movies ipi unaipenda zaidi
😂😂😂Mule mule njoo nikuoe wew dada
Yeah nilikua napenda kuandika tangu nasoma aiseee hizo diaries zangu za shule ya msingi na sec ninazo japo zimechakaa😅😅!!kuchora its a good hobbie ivi unaweza kujifunza kuchora kama mtu hujui??Diaries nne!!! hongera moja tu kuijaza napata tabu, nazojaza kwa wepesi ni journal nazochora na kuandika maandishi pembeni (Sketchbook)
commentating! Nzuri hii kama una kipaji zama redioni kiongozi.Napenda wakati nikiangalia mpira ni nifanye kama anavofanya mtangazaji, yani nafanya utangazaji. Pili,tangu nijiunge na jf,nimekuwa addicted sana,naweza kushinda ndani tu nasoma nyuzi za humu.
Acha tu yaanii,,saivi nimeona ya tatu ipoNoma hii! kuna mlango unameandikwa God ends here
Sawasawa😊Of course, unaweza tena utajua hadi uwe expert