Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Habari wakuu
Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby.
Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free.

Hobbies nazopenda
  • Kusikiliza muziki hasa wa Pop, Reggae, Country, R&B, Trap na Jazz.
  • Kuchora(sketching/drawing)
    nitaleta picha nazochora soon!
  • Kusoma hasa maandishi tu, ndio maana navutiwa na JF sana.
  • Kuangalia movies. Genre nazopenda ni Documentary, Comedy, Horrors na Action.

___
Share chochote kuhusu hobbies zako humu kwa picha,kusimulia,na kutaja.
#Hobbies
Mkuu kwenye kuchora wewe hunishindi. Imagine hii picha hapa chini niliichora huku nimefumba macho na nimetuma mkono wa kushoto ambao siuwezi na nimetumia dakika moja tu.
 

Attachments

  • IMG_20250222_101337_122.jpg
    IMG_20250222_101337_122.jpg
    297 KB · Views: 2
haha tupo wengi najua sema kujitokeza ni kama suala la aibu!
Anime sio sanaa ni kidogo sana, nakubali za kawaida kama
-Rango
-Migration
-Penguins of madagascar
-Ice age
-Iwaju
-Kirikuu
-Kungfu panda
-Puss in boots na zingine nyingi

movies za disney sizikubali kivile maana zina nyimbo sana.
hizo sio anime, anime ni animated shows kutoka japan mfano attack on titan
 
Nothing can beat the beauty of adventures.. kuna kipindi mpk boss wangu akawa ananitania we mtalii 🤣

Music.. road trip.. movie.. little wine… staying indoor havina pia mpinzani.

Hobbies zinaenda zikibadilika. Zamani nimesoma sana riwaya za Erick Shigongo… Sahivi sasa, busy na malezi kusoma tunaachia nyie na majiniazi wenzenuuu kina Certified Hater
Busy na malezi 🤣🤣 Be blessed,
 
Back
Top Bottom