Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Mkuu tujuane tafadhali, manake wengine mpaka tunaona aibu na ukubwa huu hahaha ila hatuachi, vp Anime unacheki?
haha tupo wengi najua sema kujitokeza ni kama suala la aibu!
Anime sio sanaa ni kidogo sana, nakubali za kawaida kama
-Rango
-Migration
-Penguins of madagascar
-Ice age
-Iwaju
-Kirikuu
-Kungfu panda
-Puss in boots na zingine nyingi

movies za disney sizikubali kivile maana zina nyimbo sana.
 
Haha kabisa mkuu. Hapo nimekupata. Sasa kuna moja ya kichina naona inauza sana inaitwa ne zha 2..
 
Nitaitafuta hii naskia ndio animated movie iliyouza kuzidi zote duniani $1.7B+ imezipiga chini za hollywood
 
Hobby yangu kusikiliza umbea, kuona watu wakisutana, kuona fumanizi 😀 😀 watu wamefumaniana, wapenzi wakigombana na kutoleana siri zao..... yaani ukisikia niite; nitakopa nikodi uba nijeee
 
😀 😀 😀 gossip mange kimambi ajae
 
Baadhi ya hobbies na vitu vinavyopendwa kama hobbies
1000011639.jpg
 
Back
Top Bottom