Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Napenda Mshedede 😜🙆🏻‍♀️😅 (Natania) 😅
 
Nimekumbuka tu wimbo wa Mbosso (lakini una raha yake)

Baada ya huo sasa napenda sana
1. Kupika
2.Kutoka na Marafiki
3.Kusafiri
4.Kula
and so on
Great! you've a perfect combo of hobbies 1 & 4, unapenda kupika na kula [emoji4]
I bet we ni mpishi mzuri.
 
Nimekumbuka tu wimbo wa Mboso 😅 (lakini una raha yake 😜)

Baada ya huo sasa napenda sana
1. Kupika
2.Kutoka na Marafiki
3.Kusafiri
4.Kula
and so on 😜
Hapo kwenye so on.... ufafanuzi puliziiii
 
Country yenyewe ni ile ya kicow-boy ukiisikiliza guitar lazima lihusike tena yale maguitar haswa! Kina kenny Rodgers na Alan Jackson ndio nawasikiliza zaidi.
Nyimbo maarufu za country ni kama zipi
 
Nyimbo maarufu za country ni kama zipi
nazozifahamu ni
/Alan Jackson - Chattahochee
/Alan Jackson - Gone
/Alan Jackson - I'm a country boy
/Kenny Rodgers - Gambler
/Kenny Rodgers - Lucille
/Dolly Parton - Jolene
/Merle Haggard - Man in
na nyingine nyingi
 
nazozifahamu ni
/Alan Jackson - Chattahochee
/Alan Jackson - Gone
/Alan Jackson - I'm a country boy
/Kenny Rodgers - Gambler
/Kenny Rodgers - Lucille
/Dolly Parton - Jolene
/Merle Haggard - Man in
na nyingine nyingi
Ba jazz je
 
nazozifahamu ni
/Alan Jackson - Chattahochee
/Alan Jackson - Gone
/Alan Jackson - I'm a country boy
/Kenny Rodgers - Gambler
/Kenny Rodgers - Lucille
/Dolly Parton - Jolene
/Merle Haggard - Man in
na nyingine nyingi
Vipi kuhusu jazz
 
Back
Top Bottom