Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hatusutwii sasa.
[emoji23][emoji23]
Siku za wiki ni 7
Siku za mwizi ni 40
Siku za wambea ni 50
Tulia utaona utasutwa mpaka komwe lipungue πŸ˜€
 
My heart will go on,everybody is hurt,beautiful in white,Hero by enrico etc
Anha ziko poa.

Hivi mkuu ile inapigwa kwenye nyimbo ya
Celine Dion - Call the man
ni piano au guitar?

Pale inapiga then ikimaliza anaimba
ooooh call the maaaan
 
Leo nasikiliza music trap iko moto.
Central cee | Arrdee | Lil dababy | Stormzy | Travis scott
 
[emoji23][emoji23]
Siku za wiki ni 7
Siku za mwizi ni 40
Siku za wambea ni 50
Tulia utaona utasutwa mpaka komwe lipungue πŸ˜€
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya kusutwa mie, basi tasnia ya umbea itasikitika sana.
Uwiiiih
 
EP Playlist ya leo furahiday
Airpiano
VisitBongo
Khan
 
Hacking movies furahiday playlist
Unlocked
Billion Dollar Heist
War Games
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…