UZI MAALUM: Simba SC na Yanga SC; Utani , kumbukumbu na uhalisia wao!


Ntakuwa nimechanganya madesa, kuna mechi tulifungwa 1 bila na jamaa anaitwa Tiko au Tikotiko, hii ndo mechi ya kwanza mimi kuangalia pale uwanja wa Taifa nikijua ndo uzinduzi.

Thanks kwa kunikumbusha mkuu.
 
Uko sahihi mkuu,hii mechi nilikuwepo.Nakumbuka picha ya baba Riz ilikuwa inaonekana pale kwenye screen watu wanashangilia.
 
Marapap simba kapakatwa, mimi sio yanga though hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…