Uzi maalum wa chemsha bongo -brain teaser

Uzi maalum wa chemsha bongo -brain teaser

mmekosa majibuuuu....changanyeni bongo hizo
Jibu ninalo.

Ngoja watiririke halafu Mimi niwe wa mwisho, nikupe jibu sahihi.

Kuna Mdau ameshajibu sema alitakiwa atoe ufafanuzi.

Mwambie atoe ufafanuzi
 
Jibu ninalo.

Ngoja watiririke halafu Mimi niwe wa mwisho, nikupe jibu sahihi.

Kuna Mdau ameshajibu sema alitakiwa atoe ufafanuzi.

Mwambie atoe ufafanuzi
Year......e
Week.....ee
Day........---
Kama una chemsha bongo yoyote ile iwe kwa mtindo wa maandishi au picha,,tupia hapa..tuchangamshe bongo zetu

1.nani kaketi kwenye sofa hapo kati ya mkaka na mdada


Sent using Jamii Forums mobile app
 
which-tank-will-fill-first-tricky-riddle-jpg.551949
Number 6


Sent using Jamii Forums mobile app
 
which-tank-will-fill-first-tricky-riddle-jpg.551949



Kwakuwa Tangi nambari Tano (5) na nambari Mbili (2) ni jirani kutokea chanzo cha Maji ambacho ni nambari Moja, kitakachofuata Maji yatashuka Tangi nambari Tano (5) kutokea nambari Moja ambayo ndio chanzo kamili, na yatakapofika hapo nambari Tano Maji yatajaa na kisha kubaki, kivipi?

Ni kwasababu jirani yake Tangi nambari Mbili (2) amewekewa kizuizi, basi Maji yataanza jaa hapo nambari Tano (5).

Kwahiyo jibu la chemsha Bongo yetu ni,

Nambari 5
 
Umekosa.

Nipe Mji, nikupe jibu.

Kama vipi nijichagulie Mji mwenyewe😀.

Haya, ngoja nishuke.

Jibu ni Tangi nambari Tano (5).

Kivipi?

Shuka chini, nikupe mpango mzima:-
na wewe umekosa
 
Back
Top Bottom