Katika kusherehekea mwaka mpya 2019 unaoambatana na kupungua kwa siku zangu za kuwa hapa duniani napenda kudedikati wimbo ulioimbwa na Kisaki Selemani uitwao 'shuhuda'.
Uwe maalum kwa marafiki zangu na maadui zangu wote hapa duniani.
Pili ni wimbo wa mwanza kwa wote tulioshirikiana NYEGEZI.