Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya;
1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au,
2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au,
3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD).

Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi mambo mengi kuhusu hatua hiyo unayotaka kupiga katika chuo chochote kilichopo nchini (Tanzania).

Kupitia uzi huu uliza swali hapa. Wenye kujali haja za wengine watakuja na majibu, maoni, ushauri ambapo watakusaidia na kukufunua zaidi.

Right Marker
Dar es salaam
 
Mwaka huu kuna baadhi ya programme mpya zimeanzishwa. Tuzisubiri kwenye guideline
 
Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya;
1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au,
2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au,
3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD).

Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi mambo mengi kuhusu hatua hiyo unayotaka kupiga katika chuo chochote kilichopo nchini (Tanzania).

Kupitia uzi huu uliza swali hapa. Wenye kujali haja za wengine watakuja na majibu, maoni, ushauri ambapo watakusaidia na kukufunua zaidi.

Right Marker
Dar es salaam
Hapa hapa mkuu nauliza kwa sisi wa elimu ya kati,je Kuna uwezekano wa mtu kujiunga kozi mbili kwa wakati mmoja chini ya NACTE?
Yani mfano ujisajili diploma of teaching na diploma of business administration kwa wakati mmoja.
Je hilo linawezekana?
 
Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya;
1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au,
2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au,
3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD).

Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi mambo mengi kuhusu hatua hiyo unayotaka kupiga katika chuo chochote kilichopo nchini (Tanzania).

Kupitia uzi huu uliza swali hapa. Wenye kujali haja za wengine watakuja na majibu, maoni, ushauri ambapo watakusaidia na kukufunua zaidi.

Right Marker
Dar es salaam
Napataje scholarship ya masters?
 
Back
Top Bottom