Uzi maalum wa "hivi ni kweli"

Uzi maalum wa "hivi ni kweli"

Hivi ni kweli wote tuna maswali tu, hakuna mwenye majibu.
 
Hivi ni kweli Tanzania ni nchi yenye amani?
 
Hivi ni kweli kila anaekomenti katika UZI huu, asitarajie LIKE...!?
 
Hivi ni kweli mapenzi ni upovu ndoa ni darubini?
 
Hivi ni kweli humu jf kuna wanaume wanatumia majina ya kike
 
Hivi ni kweli ccm ndo imetufikisha hapa?
 
Back
Top Bottom