Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kama Binadamu kweli!Wanaume wanahitaji faraja kubwa sana, tusipowafariji waume zetu, je faraja wataipata wapi?
Hata saa mbovu kuna muda huongea ukwelihamna kitu hapo. Mwanamke anayetoa kauli hizi Mara nyingi anatafuta ndoa kwa kujifanya wife material mitandaoni.
Ila kama kutustresisha tu, hilo mnalijua vyemaWanaume wanahitaji faraja kubwa sana, tusipowafariji waume zetu, je faraja wataipata wapi?
Tukiwafariji mnaenda na magendo kutafuta faraja ya ziada
😜
😥
😳tumekosea nn tena ?Wakati tunasubiria makarani wa sensa wengine wanawaza mapenzi, wanyakyusa mna nini lakini
Wana Mwayukreni na MwaurusiWakati tunasubiria makarani wa sensa wengine wanawaza mapenzi, wanyakyusa mna nini lakini