Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nile vyakula gani ili nipunguze 2kgs kwa mwezi?Kwa mahitaji ya dawa za kupunguza unene, kitambi na nyama uzembe napatikana kwa namba 0679094097 na 0689094097 nafanya delivery View attachment 2524036
Mbona hujaweka namba ya simu? Weka na picha kama inawezekanaNauza Scientific Calculators mashuleni Walimu wakuu wasajili na academicians karibuni tupeane dili
Unaweka tu kipengele cha Calculator kwenye joining yako watoto wakija naleta naacha na commission ya laki 2 kwa kila machine 100
Karibuni PM sana haswa kipindi hiki vijana wa Advance wanapoanza kuripoti
Epuka kula vyakula vyenye mafuta, sukari na vyakula vyote vya kusindikwa, vinywaji vyote kama vile Juisi za viwandani, Soda na Pombe za vimea(bia)...Pendelea kula vyakula vilivyopikwa kwa njia ya chukuchuku(kuchomwa au kuchemshwa)...kula matunda au juisi za matunda zisizo za viwandani, kunywa maji mengi ikiwezekana unywe glass moja ya maji ya moto kila siku asubuhi au mchana na ule kwa utaratibu mzuri kwa kufanya hivyo sio kupungua uzito tu utairudisha afya yako kwenye mfumo wa kawaidaNile vyakula gani ili nipunguze 2kgs kwa mwezi?
Kwa uhitaji wa popcorn quality tupo mbagala Rangitatu namba ya simu 0629100287. Birthday part,harus, pia tunapokea oda kupop kwnye sherehe zingine karibuni.Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement.
Kila biashara inahitaji watu, watu ambao ni wanunuzi, watu ambao ni wateja, nk.
Leo kupitia uzi huu mention biashara yako na mahali ilipo, ielezee kwa uzuri tu.
Nikiwa naenda St. Matthew nitakuja aiseeKwa uhitaji wa popcorn quality tupo mbagala Rangitatu namba ya simu 0629100287. Birthday part,harus, pia tunapokea oda kupop kwnye sherehe zingine karibuni.
Poa sana, mko sehemu gani hapa Dar es Salaam?JODAM-SUPPLY, NEW AND USED IN TOWN
Je unataka kuuza vitu vyako, ?
UNATAKA KUHAMA , KUNA VITU HUTAKI KUBEBA ??
UNA SHIDA ZAKO BINAFSI ??
*TUNANUNUA BIDHAA HALALI KWA BEI YA KAWAIDA
BIDHAA ZOTE ZIWE DAR ES SALAAM
PIGA AU BIPU 0768101677
Jiunge na grp letu la Whatsapp kwa bidhaa mbalimbali Follow this link to join my WhatsApp group: Jodam supply new and used in town
Bei ni za jumla , yaani nafu saanaView attachment 2527484