Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Kama mwana jamii unaombwa u comment jina lolote ulilowahi kulisikia duniani, iwe la kingereza, kiarabu au lugha yoyote na ikiwezekana na maana yake ili isaidie hata kwa wale wenzetu ambao huwa wanaomba ushauri wa majina ya kuwapa watoto wao iwe rahisi kuchukua kutoka hapa
Karibuni
Karibuni