Uzi maalum wa kuandika majina ya watu

Uzi maalum wa kuandika majina ya watu

Kuna yale majina ambayo huwa two in one hasa kwa wasichana....

Mfano

Marysalome, Estherlucy nayo pia huwa ni mazur sana
 
Nimekutana pia na watu ambao huwapa majina yao watoto wao.. Mathalan baba anaitwa Musa basi na mtoto anamwita Musa, kwa hyo mtoto Anaitw Musa Musa
 
Tuna endelea na Uzi wetu kama u nataka kupata alternative ya majina tafadhari pitia hapa
 
Back
Top Bottom