Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
HAHAHA WE JAMAA MCHOCHEZI,WASALIMIE MWENA
Ahsante mkuu sikuwahi kulijua hili
Mkuu kama unajua maana yako tujuze mkuuBASHITE
Means StoneJIWE
Jina zuri sana hiliGift - Zawadi
Mwambie awape tuNimesoma na watu wanaitwa Likumarija na Likumalako,wanatokea kanda ya ziwa!
Wenyeji naomba mtusaidie maana kuna mtu anataka kumpa mwanae jina moja kati ya hayo!
Sent using Jamii Forums mobile app