ndugu d Member Joined Dec 8, 2019 Posts 23 Reaction score 24 May 23, 2020 #41 Mtoto wangu wa kwanza naitwa daniel wa pili deogratius, wadau mnitafutie jina lenye kuanza na d' kwa mtoto wangu wa3 wakiume
Mtoto wangu wa kwanza naitwa daniel wa pili deogratius, wadau mnitafutie jina lenye kuanza na d' kwa mtoto wangu wa3 wakiume
MR KUO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,678 Reaction score 3,818 May 23, 2020 #42 sabosabo said: Nimesoma na watu wanaitwa Likumarija na Likumalako,wanatokea kanda ya ziwa! Wenyeji naomba mtusaidie maana kuna mtu anataka kumpa mwanae jina moja kati ya hayo! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... (kumalija) nimesoma nae pale shule ya jeshi bwiru Sent using Jamii Forums mobile app
sabosabo said: Nimesoma na watu wanaitwa Likumarija na Likumalako,wanatokea kanda ya ziwa! Wenyeji naomba mtusaidie maana kuna mtu anataka kumpa mwanae jina moja kati ya hayo! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... (kumalija) nimesoma nae pale shule ya jeshi bwiru Sent using Jamii Forums mobile app
Kukaja Kununu JF-Expert Member Joined Mar 27, 2017 Posts 1,077 Reaction score 1,208 May 23, 2020 #43 kukaja-nyumbani Sent using kyala gwa maka
Culture Me JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 10,490 Reaction score 21,398 May 23, 2020 #44 Kalavuze =? Waha mtatuambia maana yake Boost your Immune System to fight a Covid-19.