Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Habari wakuu.
Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo.
Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji materials gani ili kubadilishana na materials gani, bei italinganishwa bei ya sokoni ili mbadilishano huu uwe fair bila kumuumiza yoyote.
Wanaohitaji mchanga kwa mbadilishano, Niko Dar Kigamboni na matawi maeneo mengine nje ya Kigamboni.
Piga 0713-039 875