Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Haya mambo ya kubadilishana vitu ilikuwa wakati wa ujima. Sasa tupo kidigitali zaidi.Habari wakuu.
Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo.
Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji materials gani ili kubadilishana na materials gani, bei italinganishwa bei ya sokoni ili mbadilishano huu uwe fair bila kumuumiza yoyote.
Wanaohitaji mchanga kwa mbadilishano, Niko Dar Kigamboni na matawi maeneo mengine nje ya Kigamboni.
Piga 0713-039 875
Unaweza toa mfano nyumba ya kidigitali isiyohitaji materials?Haya mambo ya kubadilishana vitu ilikuwa wakati wa ujima. Sasa tupo kidigitali zaidi.
Na mkoani vp usafiri bure kuanzia 80? Mfano morogoro𝐍𝐔𝐍𝐔𝐀 𝐌𝐀𝐁𝐀𝐓𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐁𝐄𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈.
𝐔𝐤𝐢𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐚 𝐊𝐮𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐁𝐚𝐭𝐢 𝟖𝟎 𝐓𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐩𝐚 𝐨𝐟𝐟𝐞𝐫 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐮𝐦𝐚𝐫𝐢.
𝐓𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐩𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐛𝐮𝐫𝐞.
𝐂𝐀𝐋𝐋 : 𝟎𝟕𝟔𝟐 𝟕𝟓𝟑𝟏𝟒𝟎, 𝟎𝟔𝟗𝟐 𝟕𝟔𝟑𝟑𝟎𝟔
𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏:𝟎𝟕𝟔𝟐 𝟕𝟓𝟑𝟏𝟒𝟎
Am waiting mtu anaeuza tofali
Nasafirisha mkuu.Na mkoani vp usafiri bure kuanzia 80? Mfano morogoro
Unazo kias gani na unaziuza bei ganiNipo mkuu krb sana.
Unazo kias gani na unaziuza bei gani
Mkuu unapatikana mkoa ganiNinazo idadi yoyote utakayohitaji mkuu na bei yetu ni 1100 (mazungumzo yapo kwa kwa idadi kubwa) kwa tofali. Ninazungumzia tofali za inchi 5.
Mkuu unapatikana mkoa gani
Kama ni mm ulimaanisha nipo Dar mkuu maeneo ya Temeke. Karibu sana.Oky boss ni sehem gan unapatkana?
It won't work coz npo mwanzaNiko Dar mkuu karibu sana. Unaweza kunipm kwa mawasiliano zaidi.
Oh usijali mkuu. There will always be a next time. Ninaweza kuja rock city au ww ukaja Dar na ukawa na kaproject tukameet. Au pia unaweza kumrefer kwangu mtu aliyeko Dar tukafanya biashara. We appreciate your interest.It won't work coz npo mwanza
Kokoto Lori sh. ngapi?Anaehitaji kokoto na kujaziwa kifusi kwenye boma anicheck...
Faw..mende..kipisi..canter..fuso ?..na site ipo maeneo gani?Kokoto Lori sh. ngapi?
Mi pia nataka kujua bei ila hizo aina za magari sijui, sijui ni nini sijazielewa hapo nimejua canter na fuso tu...Faw..mende..kipisi..canter..fuso ?..na site ipo maeneo gani?