UZI MAALUM WA "KUFELI"

UZI MAALUM WA "KUFELI"

Ukiona unasifiwa sana kwa ujinga na upuuzi wako jua USHAFELII
 
Duuh! Mimi nimefeli kumaliza supu tuu hapa, nimejichanganya nimeweka mapilipili.
 
Ukiona mutu apambani na maisha anapambana na pombe,ugomvi,fujo,ubabe na hana pesa, ujue ashafaulu mtiani wa kufeli
 
Back
Top Bottom