Uzi maalum wa kuishauri Simba katika mechi na Al Ahly zinazokuja mfululizo

habari wadau..

naomba tuungane mashabiki wa simba, na timu zingine Tanzania ambao ni wazalendo, tushauri timu yetu..

wote tunajua fixture ya simba inayofata ni ngumu sana kuliko iliyopita..

maana tarehe 2 anaenda misri kucheza na kigogo cha africa al ahly na baada ya wiki moja anarudi dar es salaam na kurudiana na kigogo hiko cha africa taifa..

kucheza na al ahly mechi mbili mfululizo sio shughuli ndogo kwa tunaojua mpira..

maana mziki ni mnene kuliko As vita, mnene kuliko mazembe, mnene kuliko enyimba.. mziki ni mnene hasa...

maana al ahly wana kila kitu.. wachezaji wazuri, pesa nyingi, wanabebwa na caf, mashabiki wenye zengwe... yaani kila kitu..

je kocha atumie mbinu zipi...

unakaribishwa kushauri... nina imani kocha atausoma humu
Simba wana tatizo moja kubwa ambalo nimeliona. Wachezaji wa simba sana sana safu ya ulinzi wanashindwa kucheza set pieces. Ninapozungumzia set pieces nazungumzia mipira ya juu iliokufa. Mfano kona, cross, pamoja na foul amabza zinapigwa karibia na lango lao. Wakirekebisha hii kitu wanafika mbali. Al ahly hawatawasumbua sana simba kwa sababu waarabu pia hawawezi kuzitumia hizo nfasi za set pieces ie corner na kuendelea. Angalia JS saoura. Kwa kifupi waarabu mambo ya set pieces hawanaga. Unaweza usinielewe ila hiyo ndio analysis yangu. Simba hata kama atafungwa ila si kwa kiwangu hicho cha magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uanzie wapi? Acha ligi ya kitoto hiyo! Kufungwa pia ni matokeo
Pamoja mkuu
IMG-20190120-WA0021.jpeg
 
Nafikiri benchi la ufundi la simba lina kitu cha kujifunza kwa kipigo kile, mashindano ya caf hauwezi kwenda ugenini ukafunguka kutaka kucheza hovyo hovyo ni makosa makubwa sana hasa ukikutana na timu kubwa, mfano

1. Jana TP Mazembe wamecheza na CS Constantine ya Algeria ambayo kule kwao kwenye msimamo wa ligi ni ya nne huku TP Mazembe inaongoza ligi Congo DRC na pia ndiyo klabu bora Afrika kwa ranking za sasa kuliko klabu yoyote, pamoja na hayo walijitahidi kucheza defensive footaball ila wakapigwa 3-0,

2. Mwezi september tu hapo hao AS-Vita walikutana na Al-Masry huku Masry ikiwa imetoka kuitoa Simba kwenye Confederation cup kwa droo ya 2-2 taifa na 0-0 kule Egypt ila pale Kinshasa walipokea kipigo cha 4-0 kama wamesimama

3. Final zote mbili ile ya champions league na confederation cup zimeisha kwa 3-1kwa 3-0
Yaani Raja casablanca alishinda 3-0 home, lakini akapigwa 3-1 pale Congo na Vita. Raja kabeba ndoo
Al Ahly alishinda 3-1 home, akapigwa 3-0 pale Tunisia na Esperance. Esperance kabeba ndoo.

4. Mechi za confederation cup zinazoendelea currently Zamalek kaipiga Coton Tchad 7-0 pale Egypt, ila nae kachezea 2-0 pale N' Djamena Chad.
Nyumbani ni nyumbani na ugenini ni ugenini tu

Nini kifanyike
Simba kwenye hatua hii au hata wakifanikiwa kuvuta mechi zote za ugenini kuanzia hiyo ya Al Ahly wahakikishe wanacheza deep defensive football huko wakifanya counter attack tena kwa speed.
Waache ubishi kutaka possesive footbal la sivyo yatawakuta mabaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wadau..

naomba tuungane mashabiki wa simba, na timu zingine Tanzania ambao ni wazalendo, tushauri timu yetu..

wote tunajua fixture ya simba inayofata ni ngumu sana kuliko iliyopita..

maana tarehe 2 anaenda misri kucheza na kigogo cha africa al ahly na baada ya wiki moja anarudi dar es salaam na kurudiana na kigogo hiko cha africa taifa..

kucheza na al ahly mechi mbili mfululizo sio shughuli ndogo kwa tunaojua mpira..

maana mziki ni mnene kuliko As vita, mnene kuliko mazembe, mnene kuliko enyimba.. mziki ni mnene hasa...

maana al ahly wana kila kitu.. wachezaji wazuri, pesa nyingi, wanabebwa na caf, mashabiki wenye zengwe... yaani kila kitu..

je kocha atumie mbinu zipi...

unakaribishwa kushauri... nina imani kocha atausoma humu

Mimi binafsi ni mzalendo sana kwa nchi yangu kwa mambo mengi, lakini kwa hili la Simba hapana....Simba ya miaka miwili au mitatu hivi imegeuza suala la ushindani wa soka nchini kuwa ni la udhalilishaji kwa timu nyingine...Viongozi wao baadhi yao ni waropokaji, wana kebehi kubwa, wana majivuno, wana kiburi na wamegeuza soka yetu kuwa ya uadui...Yanga ilipopata matatizo yanayoendelea baada ya mwenyekiti wao kupatwa na matatizo na serikali...mmoja wa viongozi wa simba kwa kebehi kubwa alianza kuidhalilisha Yanga na mwenyekiti wao mitandaoni...Kwa mashabiki kusemeana hovyo ni jambo la kawaida duniani kote...lakini kwa viongozi hapana ni lazima wawe na diplomasia na lugha ya staa kwa timu pinzani...lakini kwa viongozi wa Simba baadhi yao wanaona sawa tu kusema maneno ya ovyo na hata kufurahia matatizo yanayowapata baadhi ya viongozi wa timu pinzani...

Kwa hiyo kwangu mimi sitaki unafiki, Simba afungwe tu huko aendako na ikibidi afungwe nyingi ili kuondoa na kumaliza kebehi zao...hamna namna...nadhani Simba ikifungwa tena kwa mabao mengi viongozi wake watarudi kwenye msitari wa heshima...
 
Nafikiri benchi la ufundi la simba lina kitu cha kujifunza kwa kipigo kile, mashindano ya caf hauwezi kwenda ugenini ukafunguka kutaka kucheza hovyo hovyo ni makosa makubwa sana hasa ukikutana na timu kubwa, mfano

1. Jana TP Mazembe wamecheza na CS Constantine ya Algeria ambayo kule kwao kwenye msimamo wa ligi ni ya nne huku TP Mazembe inaongoza ligi Congo DRC na pia ndiyo klabu bora Afrika kwa ranking za sasa kuliko klabu yoyote, pamoja na hayo walijitahidi kucheza defensive footaball ila wakapigwa 3-0,

2. Mwezi september tu hapo hao AS-Vita walikutana na Al-Masry huku Masry ikiwa imetoka kuitoa Simba kwenye Confederation cup kwa droo ya 2-2 taifa na 0-0 kule Egypt ila pale Kinshasa walipokea kipigo cha 4-0 kama wamesimama

3. Final zote mbili ile ya champions league na confederation cup zimeisha kwa 3-1kwa 3-0
Yaani Raja casablanca alishinda 3-0 home, lakini akapigwa 3-1 pale Congo na Vita. Raja kabeba ndoo
Al Ahly alishinda 3-1 home, akapigwa 3-0 pale Tunisia na Esperance. Esperance kabeba ndoo.

4. Mechi za confederation cup zinazoendelea currently Zamalek kaipiga Coton Tchad 7-0 pale Egypt, ila nae kachezea 2-0 pale N' Djamena Chad.
Nyumbani ni nyumbani na ugenini ni ugenini tu

Nini kifanyike
Simba kwenye hatua hii au hata wakifanikiwa kuvuta mechi zote za ugenini kuanzia hiyo ya Al Ahly wahakikishe wanacheza deep defensive football huko wakifanya counter attack tena kwa speed.
Waache ubishi kutaka possesive footbal la sivyo yatawakuta mabaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefunguka vizuri! Shukrani mkuu
 
Mimi binafsi ni mzalendo sana kwa nchi yangu kwa mambo mengi, lakini kwa hili la Simba hapana....Simba ya miaka miwili au mitatu hivi imegeuza suala la ushindani wa soka nchini kuwa ni la udhalilishaji kwa timu nyingine...Viongozi wao baadhi yao ni waropokaji, wana kebehi kubwa, wana majivuno, wana kiburi na wamegeuza soka yetu kuwa ya uadui...Yanga ilipopata matatizo yanayoendelea baada ya mwenyekiti wao kupatwa na matatizo na serikali...mmoja wa viongozi wa simba kwa kebehi kubwa alianza kuidhalilisha Yanga na mwenyekiti wao mitandaoni...Kwa mashabiki kusemeana hovyo ni jambo la kawaida duniani kote...lakini kwa viongozi hapana ni lazima wawe na diplomasia na lugha ya staa kwa timu pinzani...lakini kwa viongozi wa Simba baadhi yao wanaona sawa tu kusema maneno ya ovyo na hata kufurahia matatizo yanayowapata baadhi ya viongozi wa timu pinzani...

Kwa hiyo kwangu mimi sitaki unafiki, Simba afungwe tu huko aendako na ikibidi afungwe nyingi ili kuondoa na kumaliza kebehi zao...hamna namna...nadhani Simba ikifungwa tena kwa mabao mengi viongozi wake watarudi kwenye msitari wa heshima...
Hizo kejeli za kina Manara ni tambo za mpira tu! Chukulia poa tu utazoea
 
Hata Mimi nakuunga mkono japo Waarabu wanacheza kasi sana , simba wanapaswa kuwashambulia waarabu mfululizo ilikudistabilize mipango yao
Simba wana tatizo moja kubwa ambalo nimeliona. Wachezaji wa simba sana sana safu ya ulinzi wanashindwa kucheza set pieces. Ninapozungumzia set pieces nazungumzia mipira ya juu iliokufa. Mfano kona, cross, pamoja na foul amabza zinapigwa karibia na lango lao. Wakirekebisha hii kitu wanafika mbali. Al ahly hawatawasumbua sana simba kwa sababu waarabu pia hawawezi kuzitumia hizo nfasi za set pieces ie corner na kuendelea. Angalia JS saoura. Kwa kifupi waarabu mambo ya set pieces hawanaga. Unaweza usinielewe ila hiyo ndio analysis yangu. Simba hata kama atafungwa ila si kwa kiwangu hicho cha magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wana tatizo moja kubwa ambalo nimeliona. Wachezaji wa simba sana sana safu ya ulinzi wanashindwa kucheza set pieces. Ninapozungumzia set pieces nazungumzia mipira ya juu iliokufa. Mfano kona, cross, pamoja na foul amabza zinapigwa karibia na lango lao. Wakirekebisha hii kitu wanafika mbali. Al ahly hawatawasumbua sana simba kwa sababu waarabu pia hawawezi kuzitumia hizo nfasi za set pieces ie corner na kuendelea. Angalia JS saoura. Kwa kifupi waarabu mambo ya set pieces hawanaga. Unaweza usinielewe ila hiyo ndio analysis yangu. Simba hata kama atafungwa ila si kwa kiwangu hicho cha magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Js Soura sio kipimo halisi kwa timu za waarabu sidhani kama wamewahi kucheza hii hatua ya makundi,Aly Ahly kwenye haya mashindano ni kama Real Madrid kwenye Champions League

Timu za Waarabu ni hatari Sana kwenye set pieces na wanajua sana kutafuta free kick na penalties

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No mi nakataa kama timu za warabu ni wazuri kwenye set pieces. Usichanganye kata ya kuzutafuta set pieces na kuzitumia. Waraabu wazuri kwenye kuzitafuta mfano kijianguasha. Ila kusema waminyabe pale kwenye kupiga vichwa si wazuri

Back
Top Bottom