Uzi maalum wa kujichotea milioni 5 kila wiki

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Baada ya kupata ajali na gari yangu ndogo kama wiki 3 zilizopita niliamua kui-test ile theory yangu ya placebo effect.
Wakati nimepanda daladala ya Geza-ferry huku nikiwa nimesimama katika mbanano mkali nilifanya manuizi out of nowhere kwamba ndani ya mwezi huu wa 5 ni lazima nitengeneze walau shs.milioni 12, ambayo ningeitumia kutengeneza kigari changu pamoja na kununua SUV walau used hasa katika kipindi hiki cha mvua, maana nilishawahi hadi kuulizia bei ya Toyota surf used humu jamvini.

Siki 3 hazikupita nikapata majibu ya Placebo niliyoinuia, out of knowhere na kwa mfululizo nilipata channel zilizonipatia 4.5m, 2.5m na 5m respectively; sasa leo usiku ndio nimekaa napiga hesabu nikashtuka kukuta kwamba amount ina total 12m exactly, huu ni MSHTUKO mkubwa!

Sasa nataka tufanye mass experimentation, kila mmoja anuie chake then tusubiri mrejesho toka kwa kila atakaeijaribu Placebo! Jaribu kunuia walau milioni 5 then tuone nini kitatokea.

Jifunze kuhusu PLACEBO na ufanikiwe Maishani!

Utakalo lifanya kesho limeshakuathiri/ linakuathiri leo
 

Mkuu Asante kwa somo lenye kiwango cha akili ya kupitiliza...naanza majaribio.
 
Kwani mkisema haya mambo mmesoma kwenye vitabu mtapungukiwa? Hizo ni Principle za NAPOLEON HILL. Ukitaka kujua haya mambo soma vitabu vyake kama Think and Grow Rich,The Law of Success....Pia kuna kingine cha Dr J Murphy kinaitwa The Power of Your Subconscious Mind.
 
Hao unaowataja mimi siwajui na ndio kwanza nawasikia kwako, anyway its good to know kuna watu wenye mawazo yanayorandana na yangu
 
Hata ukifanya Forex ukinuia kupata milioni 10 ndani ya dakika kadhaa unaipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…