Uzi maalum wa kujichotea milioni 5 kila wiki

sasa kwa mantiki hiyo unadhani kupata pesa au kitu unaweza ukapata kwa kuweka imani na sio malengo
 
Hao unaowataja mimi siwajui na ndio kwanza nawasikia kwako, anyway its good to know kuna watu wenye mawazo yanayorandana na yangu
Kama kweli hao huwajui ndio unawasikia basi unasafari ndefu sana kiupeo na kimaisha. Kumbe ndio maana huwa unatukana watu hovyohovyo badala ya hoja,na nimekusamehe kwa offensive comments zako zote. Ukianza kuwajua hao waliotajwa na kusoma kazi zao uta-mature.
 
Hahahah..., i am as bright as a sun,hao mnao wataja na kufanya reference kwao ni vyema wakasoma vitabu vyangu mimi kabla sijasoma vyao, wataongeza maarifa..! (Haya maneno ni placebo tu, hivyo usiyachukulie serious)
 

Wabongo wanajuaga watu wote hawasomagi vitabu na mwisho wanaishia kuchekesha
Hahahah..., i am as bright as a sun,hao mnao wataja na kufanya reference kwao ni vyema wakasoma vitabu vyangu mimi kabla sijasoma vyao, wataongeza maarifa..! (Haya maneno ni placebo tu, hivyo usiyachukulie serious)
Good for you
 
Pia kwenye kitabu cha The 7 habits of highly effective people cha Stephen Covey amezungumzia kitu kama hicho kwenye habit no.2
'Begin with the end in mind'-all things are created twice, first creation is mental creation na second creation ni physical creation.
'If you can visualize it you can have it'. Hii ilinisaidia sana kwenye kitabu kimoja cha The power of subconcious mind na ninafanikisha mambo mengi kwa kuapply hizi principles. Pia Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake cha retire young retire rich alinipa sana ujasiri wa kutoka kwenye ajira na kukomaa mtaani kufuata ndoto zangu,japo sijawa rich bado ila in 5 years najua ntakua mbali maana nilishaliamsha dude ndani yangu (The monster in me)
So placebo effect ni kweli kabisa, things tend to happen in our lives the way we expect them to happen.

I really love books, books make me think,books make me reflect,books make me plan,books make me see the reality,books make me visualize,books make me dig into people's mind,books awaken the monster in me,books make me connect with my inner ninja
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mbona watu wanaupeo bila kuwasoma hao marehemu, wao ni watu kama sisi waliandika tuu naww unaweza andika yako , they are not angels or prophets. Have a matured mind bro. it seems like hata kufanya maamuz kwako mpaka ukawasome kina plato
 
Pole sana..... Hii dhana ya kudhani unachojua kinatosha na huhitaji kusoma vitabu ndio inawafanya muendelee kubaki palepale sababu mnaendelea kufanya mambo yaleyale
 
Good to know kuna watu wana concur na mawazo yangu, mfano ni huyo Robert.
 
Ndicho ninachojaribu kusema, mimi mwenyewe naweza kutumika kama reference, lakini yeye anakomaa na hao marehemu ambao si malaika, ni watu tu wa kawaida..
 
Placebo effect?..mawazo yako? Wadanganye unawaowadanganyaga sababu ya uvivu wao wa kusoma
Kwanini huna confidence na mwafrika mwenzako? Acha hizo.., hilo ni jina tu, ila hiyo concept mimi niliitambua by heart from within me tangu nimeanza kujitambua..
 
Ndicho ninachojaribu kusema, mimi mwenyewe naweza kutumika kama reference, lakini yeye anakomaa na hao marehemu ambao si malaika, ni watu tu wa kawaida..
Utumike na nani...wewe hata James Mwang'amba, chriss mauki au hata shigongo ambao kazi zao zinaonekana hujawafikia...unaishi kijiji gani mkuu ambacho watu wanakutumia kama reference tena kwa kazi za watu ambazo unazisoma shallow afu unakuja kusema mawazo yako
 
Kijiji cha JF mkuu.., hafu hao mi siwajui, ila bila shaka mimi wananifahamu, na kazi zangu wamezisoma sana tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…