Hahahaaaa...umetishaKijiji cha JF mkuu.., hafu hao mi siwajui, ila bila shaka mimi wananifahamu, na kazi zangu wamezisoma sana tu..
Thats Placebo bby..!!Hahahaaaa...umetisha
Naomba link tafadhali, sijawahi ona huo uziHuu uzi mbona kama unafanana na huu
"Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8"
Coincidence?
Nimeutafuta na nimeupata, hizo nyuzi za placebo mimi nilipost mwaka 2014, hii ni ya 2017..,Huu uzi mbona kama unafanana na huu
"Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8"
Coincidence?
Anhaa umesomeka mkuuNimeutafuta na nimeupata, hizo nyuzi za placebo mimi nilipost mwaka 2014, hii ni ya 2017..,
Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8
Dhihirisha unachokisemanonsense