Uzi maalum wa Kujifunza Lugha za Makabila ya Tanzania: Comment Jinsi mnavyosalimia na chochote tafsiri kwa kiswahili

Uzi maalum wa Kujifunza Lugha za Makabila ya Tanzania: Comment Jinsi mnavyosalimia na chochote tafsiri kwa kiswahili

Wana JF mnakaribishwa kwenye Harusi ya Watoto wetu Tebelwa na Betty...

Harutaki waishi na Stress za mapenzi ukubwani pamoja na kutekeleza Utamaduni wa kabila letu la NGAPI

Huyu ni TEBELWA
download (1).jpeg

Huyu ni Betty

download.jpeg
 
Wana JF mnakaribishwa kwenye Harusi ya Watoto wetu Tebelwa na Betty wote wana umri wa siku 1...

Harutaki waishi na Stress za mapenzi ukubwani pamoja na kutekeleza Utamaduni wa kabila letu la NGAPI!?

Huyu ni BETTY

download.jpeg

Huyu ni TebeLWA

download (1).jpeg
 
Orodha ya Vitu viletavyo baraka Duniani

Kuoa/Kuolewa

Kujua kabila lako

Kujua watoto

Kuwekeza

Kuzaa mtoto/Watoto

Tumkabidhi tusiwe na Baraka tuwe na Majanga tuu
 
Back
Top Bottom