MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Karibu kila mtu anajutia uamuzi fulani aliowahi fanya maishani. Na wengi wana majuto kwenye ishu za ndoa na biashara. Kimsingi majuto ni mengi sana. Sasa mimi nimeamua kuandika huu uzi ili TUJIKUMBUSHE maamuzi kadhaa mazuri tuliyowahi fanya na kutuletea matokeo mazuri. Inaweza saidia kuleta faraja. Binafsi ninayo kadhaa;
1. Uamuzi wa kutocheza kamari ya aina yoyote. Iwe inaitwa bahati nasibu au jina lolote la kuvutia niliapa kutojihusisha. Huu uamuzi niliufanya mwaka 2011 nikiwa eneo la Kenya Archives katikati ya jiji la Nairobi. Kulikuwa na promotion ya wahuni fulani waliojifanya kama wao ni Safaricom walinila hela yote niliyokuwa nayo na kubakia na nauli tu ya kurudi Arusha. Baada ya lile tukio niliapa viapo vyote kutojihusisha na kamari.
2. Uamuzi wa kutonunua dada poa. Huu uamuzi ulichangiwa pia na dada poa ambaye simkumbuki jina. Yule dada alinipa ushauri mzito wa kuachana na hii tabia mbaya. Alikuwa ni mkazi wa Tabata. Ilikua mwaka 2015. Nami niliamua kufuata ushauri wake. Ingawa wanawake wengi kwenye tabia hawana tofauti na hao viumbe wenzao wanaojiuza ila kutonunua dada poa inakuweka mbali na hatari nyingi sana.
3. Uamuzi wa kuacha ajira yenye mshahara Tsh 1.2m mwaka 2016 mwishoni na kuamua kufanya biashara zangu binafsi. Bila huu uamuzi hadi leo nisingekuwa nimewahi kufika hata Dubai.
4. Kutokimbilia kuoa.
Share yours please.