Uzi maalum wa kujuana sehemu gani unapitakana au kuishi,ikiwezekana weka jina moja tu

Jina:Veniamin


Kazi: -----

Mahusiano:Single

Makazi😛lacerville-Iringa


Ujumbe:Always try to be yourself.
 

Hivi JF baijawahi kijichanganganya ikaajiri mods wa kutoka kitengo?
 
Umetumwa na wang'oa meno na kucha bila ganzi nini, thubutu, hata wakinikamata isiwe kwa "kujipeleka" mwenyewe!!
 
kuweni makini wakuu kuna watu hawana nia njema na pia lazima mtambue kua humu jf tunachukiwa saana na watawala..... kuna watu wanaomba jf ife hata leo... maxence melo ni genius yeye sio mjinga kukubali kushtakiwa kwa kuficha ID zetu..... mi nadhani kama kuna mtu anataka kufahamiana na mtu ni rahisi sana kumfuata pm na kujuana ila kamwe siwezi na sifikirii kutaja hata mtaa ninaoishi.....
 
ahaaa wazo lako zuli lakini ungeishia jina na makazi kwenye kazi wengine ni ma silent kilaa....
 
mkuu umeona mbali mashushu wengine wanatufuata hadi pm jamani yupo mmja namtakia maisha mema ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…