Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
Humu JF wote wanakaa Daslam....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa waachane na visuruali vimodo wavae hizi za hishma.Jina : Shati
eneo: Kibindoni
Kazi: Kupendeza
Ujumbe : Kijana achana na visuruali sijui ndo vimodo! kuwa gentlemen.
Anatafuta MKE/hawara.Kwa dhumuli lipi hasa
HatimayeeeeeJina : leiguanan Daby
Eneo : Ngorongoro crater
Kazi : mchunga ng'ombe
Ujumbe: nawachanganyia habari
Katumwa huyu.Naona hauna lengo zuri wa wenzio
Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free
ahaaa wazo lako zuli lakini ungeishia jina na makazi kwenye kazi wengine ni ma silent kilaa....Napenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free
mkuu umeona mbali mashushu wengine wanatufuata hadi pm jamani yupo mmja namtakia maisha mema ...kuweni makini wakuu kuna watu hawana nia njema na pia lazima mtambue kua humu jf tunachukiwa saana na watawala..... kuna watu wanaomba jf ife hata leo... maxence melo ni genius yeye sio mjinga kukubali kushtakiwa kwa kuficha ID zetu..... mi nadhani kama kuna mtu anataka kufahamiana na mtu ni rahisi sana kumfuata pm na kujuana ila kamwe siwezi na sifikirii kutaja hata mtaa ninaoishi.....
hivo hivo melo on air ....Jina: Albert Bashite
Makazi: Mbezi mwisho Dsm
Kazi: Dalali
Mahusiano: Natafuta/natarajia mchumba kutoka JF
Ujumbe: kujali ni kuigawana furaha