Vyuma vimekaza, grisi imekua shida kupatikana na watu tupo busy na maisha. Hivyo kwa namna moja au nyingine unawezajikuta unakosa muda wa kupata habari, kupitia uzi huu tuwe tunapeana updates ya vitu na matukio yaliyopigwa marufuku.
Si ruhusu tena;
[emoji830]Kuvaa nguo fupi, za kubana au zinazoonyesha maumbile.
[emoji830]Kuvaa mlege, suruali za kuchana na kunyoa duku.
Ongeza na zingine twende sawa.
Ni kwa amri ya Kamanda, anasema ni kinyume na maadili ya kitanzania.Wapi yalipokatazwa huko?
Tatizo wabongo hatujui haki zetu na uliopitiliza! Wanaweza wakanikamata nimenyoa kiduku na nikaenda Mahakamani kufungua kesi ya udhalilisha na nikashinda maana hakuna sehemu iliyoandikwa usinyoe kiduku.
Hivi maadili ya kitanzania ni yapi?Ni kwa amri ya Kamanda, anasema ni kinyume na maadili ya kitanzania.