Cowman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 1,715
- 3,158
Vyuma vimekaza, grisi imekua shida kupatikana na watu tupo busy na maisha. Hivyo kwa namna moja au nyingine unawezajikuta unakosa muda wa kupata habari, kupitia uzi huu tuwe tunapeana updates ya vitu na matukio yaliyopigwa marufuku.
Si ruhusu tena;
[emoji830]Kuvaa nguo fupi, za kubana au zinazoonyesha maumbile.
[emoji830]Kuvaa mlege, suruali za kuchana na kunyoa duku.
Ongeza na zingine twende sawa.
Si ruhusu tena;
[emoji830]Kuvaa nguo fupi, za kubana au zinazoonyesha maumbile.
[emoji830]Kuvaa mlege, suruali za kuchana na kunyoa duku.
Ongeza na zingine twende sawa.