Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

Mwaka 1972 hadi leo ni miaka 45
Chukulia kinana alistaafu akiwa na miaka 35 hivi sasa atakuwa na miaka 80 mhhhh hesabu bado zinakataa kabisa.

Ni mtizamo wangu tu mkuu
Japo ni kweli alistaafu na cheo cha ukanali ila mwaka ndo namashaka nao
Hujakosea ni wrong information sorry
Kwani alikuwa kwenye vita ya Uganda
My mistake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…