Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!! Pasaka ina uzi wake kule nmeuonaKesho sku kuu ya pasaka
Nitagi huo uzi aseeHahah!! Pasaka ina uzi wake kule nmeuona
Hahahaa. Wengine watapita kimya kimya lol.
Ila Mshenga sijawahi kuwazia kama una uchokozi kiasi hiki. Teh
Poa mkuu [emoji23][emoji23]Nitagi huo uzi asee
Nikakurushe kwa hewa
Jaribu kusoma comment kwa umakini kabla ya kuamua kuijibu,Bila shaka kupinga sikukuu ya wajinga ni ujinga
Hahahaa. Mshenga si hiyo ya kuniambia niwatakie wajinga siku njema yao. Hahahaaa.Hahahahah
Kwanini mwali wangu.