Uzi maalum wa kuombana HELA

Uzi maalum wa kuombana HELA

Mi naomba hela ya supu, maziwa mgando, na vocha ya Voda...

Nitumie kwanza ya kitimoto, halafu list yako nakuongezea na juice ya ukwaju (siku nitakayosema nakuroga sasa jua nakumaliza kwa hivo vitu juu)
 
Nitumie kwanza ya kitimoto, halafu list yako nakuongezea na juice ya ukwaju (siku nitakayosema nakuroga sasa jua nakumaliza kwa hivo vitu juu)

Hahaaa

Hapo kwa juisi ya ukwaju ndo penyewe haswa!

Hebu ngoja niende mchana huu nikapate bariiiiidi....
 
Kwa yeyote mwenye marinda namuomba buku 5 na leo nikapige kitimoto kama jana
IMG_20181021_210518.jpg
 
Hasante sana rafiki yagu? Nakupendwa sana?
Hasante sana lafiki yagu..nakupenda piya?
Huje basi hata pihemu nikutumiye pincha za bibi yagu na mdama wa bibi?
Nitakuja lafiki husisahau kutuma na picha za dura na sosipita na amis na abudala nataka niwafahamu?
Hukija hutawahona?
Basi nakunja niwaone lafiki yagu?
Njoo kalibu lafiki yagu?
Nyie nyie nyie huu uzi wa kuombana hela nyie mnaombana kwenda PM, maana wabongo hawana dogo.
 
Back
Top Bottom