Mi naomba hela ya supu, maziwa mgando, na vocha ya Voda...
Nitumie kwanza ya kitimoto, halafu list yako nakuongezea na juice ya ukwaju (siku nitakayosema nakuroga sasa jua nakumaliza kwa hivo vitu juu)
Naombeni buku wakuu, nimepika ugali, hela ya mboga sina....
Nasubiria muamala uthibitishwe wa kitimotoHahaaa
Hapo kwa juisi ya ukwaju ndo penyewe haswa!
Hebu ngoja niende mchana huu nikapate bariiiiidi....
Naja mkuu...😀😀Njoo chukua mboga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naombeni 200 nkanunue kipande cha sabuni, nna kazi nacho bafuni leo usiku.
Rafiki naona unadanga!Naomba 100,000/= ya nauli ya kwenda na kurudi jiji la Dar[emoji120][emoji120]
Hata sijadanga, kuna msamalia mwema kajitokeza. Au nifadhili wewe basi[emoji85]Rafiki naona unadanga!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] dishi limeyumbawew si kuna pahala tulikutana ukawa unaongea vizr kabisa pole kwa mafua lkn
Hasante sana rafiki yagu? Nakupendwa sana?
Hasante sana lafiki yagu..nakupenda piya?
Huje basi hata pihemu nikutumiye pincha za bibi yagu na mdama wa bibi?
Nitakuja lafiki husisahau kutuma na picha za dura na sosipita na amis na abudala nataka niwafahamu?
Hukija hutawahona?
Basi nakunja niwaone lafiki yagu?
Nyie nyie nyie huu uzi wa kuombana hela nyie mnaombana kwenda PM, maana wabongo hawana dogo.Njoo kalibu lafiki yagu?
HahahahaNyie nyie nyie huu uzi wa kuombana hela nyie mnaombana kwenda PM, maana wabongo hawana dogo.
weka namba ya simu utumiwe chapMatumizi mabaya ya akili unayakuta Chitchat... Oya mi kuna manzi nakutana nayo leo Halaf nna Buku tano tu hata Lodge hainifikishi tuokoe jahazi wakuuu
kusoma niniMie nataka nisome,I’m serious [emoji22][emoji22]
mia tanotaja unataka kias gani uwe Ke!
puchu aunaombeni 200 nkanunue kipande cha sabuni, nna kazi nacho bafuni leo usiku.
weka nambaNaombeni buku wakuu, nimepika ugali, hela ya mboga sina....