Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

Nakuunganisha kazi katika kampuni flan hapo Tabata.

Mshahara laki tatu net

Hela ya udalali laki 1 cash.

Upo tayari?
 
mimi ni mbobezi katika kutumia autocad na solidwork kwenye kuchora michoro ya uhandisi na 3d modeling pia katika kutengeneza na kubuni mashine mbli mbali nina higher diploma in mechanical engineering [emoji1488]
 
Habari za humu wanajamvi, Jamani mimi ni mwana dada miaka 27 nipo Dar mbezi beach naomba connection ya kazi yoyote ile halali isipokuwa kuhudumia mgahawani ama grocery, Kazi yoyote ile halali isiyo na athari kiafya nipo tayari kufanya, Elimu yangu ni bachelor level moja ya fani za Afya. DM me kama utakuwa na Connection nina vitambulisho vyote incase ya uaminifu, nimeona kukaa kimya nitakufa na njaa bure mjini hapa nimetafuta kazi/kibarua sipati jamani.
 
Ungekua tayar kujitolea kwa muda ningekuunganisha sehem
 
Naomba mwenye connection ya kazi za vibarua kwenye makampuni ya ujenzi aniunganishe nitamlipa kidogo ninachoweza
 
Naomba msaada kwa mwenye connection ya nafasi za kazi kada ya Ualimu. Masomo Geography na History
 
Connection Katika masuala ya maendeleo vijijini nina shahada na pia nina ujuzi wa computer, kutoa mafunzo mbalimbali(training), ulinzi na uzoefu Katika ZAO la mkonge mwenye connection anipm na kama kuna cha udalali atakula bila tatizo
 
Nawasilimu nyote

Mimi ni msichana age 25 nina degree ya maendeleo ya jamii ,Nina uwezo wa kufanya kazi yoyote halali mahala popote pale naomba connection kwasasa nipo dar es salaam Ila nipo tayar kwenda mkoa au Kijiji chochote 0710376078
 
Njoo kwangu tuishi wote , nitakuwa nakulipa mwisho wa mwezi
 
Nawasilimu nyote

Mimi ni msichana age 25 nina degree ya maendeleo ya jamii ,Nina uwezo wa kufanya kazi yoyote halali mahala popote pale naomba connection kwasasa nipo dar es salaam Ila nipo tayar kwenda mkoa au Kijiji chochote 0710376078
Dada usiache namba za simu ni hatar kwa usalama wako , anayehitaj atakuja pm
 
Wewe ni mwanafunzi UNAANDIKA DISSERTATION? Njoo tukupatie msaada Wa kitaalamu uhitimu na A.

KWA gharama nafuu sana tutakupatia huduma.
 
Mimi ni kijana wa kiume,Nina bachelor degree science in ICT g.p.a 3.7,Natafuta kazi ya masuala ya ICT,database admin,data entry,data analysis au kazi yeyote iliyohalali.
Nitashkuru sana wadau nikipata kazi.
Naomba nicheck PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…