Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

Cameraman & Editor nipo MBEYA mjini (whatsapp 0768817356)
 
kwa dili za kitapeli tushtuane maisha haya nin magumu dirty money is still money unaweza mishe za utapeli pm ipo wazi
 
Nipo arusha natafuta kazi ya hotel management
Umri: 21
Jinsia: female
  • food and beverage service
  • laundry
  • secretary
Msaada tafadhali niko serious zaidi ya serious
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenyeji wa dar es salaam nimesoma diploma ya procurement and logistics management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote.
 
mimi ni mbobezi katika kutumia autocad na solidwork kwenye kuchora michoro ya uhandisi na 3d modeling pia katika kutengeneza na kubuni mashine mbli mbali nina higher diploma in mechanical engineering [emoji1488]
Unapatikana wap mkuu?
 
Ndugu zangu natafuta connection ya kazi yoyote halali ili kujipatia kipato na kuendesha maisha, kitaaruma nina bachelor degree in health system management ( ukatibu wa afya)

Pia nina stashahada ya usimamizi rasilimali watu

Kwa sasa napatikana mkoa wa mbeya Lakin nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ndani na nnje ya mipaka ya Tanzania, pia nafundishika na kufanya majukumu mbali mbali kulingana na mahitaji ya muajiri

Tafadhari ndugu nisaidieni kwa hili hitaji langu muhimu. Mob no: 0756416149
 
Hello I am looking for a job, my professional is production and operations officer (bachelor degree)with two years experience in
- engineering drawing using Autocad software, -maintenance,
-workshop management,
-logistics management,
- project management,
-Quality control and assurance,
-industrial safety,
-product design, etc

Natafuta kazi jamani
 
Back
Top Bottom