carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Aiseeh me nipo kwenye 47%iliyobaki53% of women don't leave home without makeup on
NenoSifuri ikiwa yenyewe haina thamani lakini ikiwekwa sehemu sahihi inaongeza thamani mara dufu,inawezekana watu wanakuona kama sifuri,siku utakapoka sehemu inayostahili ndo watajua thamani yako
Sent using Jamii Forums mobile app
YapVimetufanya tuwe hapa
Bora unene nikivaa nguo ya njano tupu watoto watadhan school bus[emoji23][emoji23][emoji23]me unene hapana
Really??mmh85% of women wear the wrong bra size
OouchLove Sucks
sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Myoya ameleta shida hukuYaani kama kawaida mazoezi yatanisamehe[emoji23][emoji23]
Whowa King Cobra is the biggest of all poisonous snakes and can grow to over 4 metres (13 feet) long
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa tafadhali bhanaMe kembamba jaman hadi nikitaka kupanda daladala konda ananiambia weee toka hatubebi miwa hapa haha
Bora unene nikivaa nguo ya njano tupu watoto watadhan school bus
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa tafadhali bhana
[emoji2][emoji2]me nashukuru sana maana nilikua sijui...Myoya ameleta shida huku