OhhhKolomije hatuna upepo wa aina hii!
Hapa ni mwendo wa like tu, kama mwendo wa kugonga meza kule mjengoniMwanzoni niliona huu uzi wa kipuuzi kweli, ila kumbe ni rahaa hv, ni kama mchezo fulani hv, ila nawaza unaweza kuta hadi watu wenye nyazifa zao wako hapa wanagonga like, hahaha! Mlale salama
HizoGongeni za kutosha
Kabisa kabisaHapa ni mwendo wa like tu, kama mwendo wa kugonga meza kule mjengoni
Nyadhfa kitu gani bhana mbele ya kula ma-like[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwanzoni niliona huu uzi wa kipuuzi kweli, ila kumbe ni rahaa hv, ni kama mchezo fulani hv, ila nawaza unaweza kuta hadi watu wenye nyazifa zao wako hapa wanagonga like, hahaha! Mlale salama
Ukiwa masikini ndo hivyo mkuu. Nguvu zako pekee ndo mkombozi. Wakati huo akina Chenge wanakula madini yako...Kaaazii kwelikweli
HaposaBingu wa muthalika
Jomo Kenyatta
Sijui kwa nini sifurahii maongezi haya. Binadamu bwana. Sis yaani wala sikujui lakini eti moyo unaniuma balaa. Si wehu huu?Please don't! Come on in! Let's get it on!
Hillary Clinton
utakua ni epopo wa kibiti uoKolomije hatuna upepo wa aina hii!
SokomokoProfesa Ndumilakuwili
Hahahaha.....nimerudi kwenye u single! Msukuma masharti mengi! HahahahaSijui kwa nini sifurahii maongezi haya. Binadamu bwana. Sis yaani wala sikujui lakini eti moyo unaniuma balaa. Si wehu huu?